TangazoAI — AI ya matangazo kwa Kiswahili fasaha
Tengeneza video za matangazo zenye sauti halisi ya Kiswahili, mabango ya kitaalamu ya Instagram, TikTok na WhatsApp Status, picha halisi na nyimbo za Bongo Flava, Singeli, Taarab na Gospel — kwa dakika chache.
Kwa biashara za Tanzania na Afrika Mashariki
Maduka ya Kariakoo, migahawa, saluni, mafundi na wajasiriamali wote: eleza biashara yako kwa sentensi moja, AI inaandika script, inarekodi sauti, inaunda video na bango. Lipa kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au Halopesa kuanzia TSh 2,000.
Huduma
- Video za matangazo zenye watu halisi wanaoigiza, sauti ya Kiswahili, manukuu na muziki wa nyuma
- Sinema: mhusika mmoja anaigiza kila neno analosema
- Mabango yenye maandishi sahihi na picha halisi za ubora wa 2K
- Nyimbo na jingle za matangazo kwa Kiswahili — Bongo Flava, Singeli, Amapiano, Taarab, Gospel
- Imba wewe: imba au vuma melody yako, AI inaigeuza kuwa wimbo kamili wa studio
- Hadithi na katuni (animation) zenye wahusika walewale kila sehemu
- Tumia picha, video fupi au screen recording yako kutengeneza tangazo
- Kila video kwa vipimo vinne: simu 9:16, PC/YouTube 16:9, mraba 1:1 na Instagram 4:5
- Meneja wa Masoko: mpango wa maudhui ya wiki nzima · Pakia bidhaa: kifurushi kizima cha tangazo kutoka picha moja
Matangazo kwa kila biashara
Tangazo la duka la nguo, tangazo la mgahawa, saluni na urembo, simu na electronics, makanisa na matukio, shule na vyuo, hoteli na utalii Zanzibar na Arusha, kilimo, nyumba na viwanja, mafundi na huduma, wanaouza mtandaoni na wasanii wa muziki.