TangazoAI — AI ya matangazo kwa Kiswahili fasaha

Tengeneza video za matangazo zenye sauti halisi ya Kiswahili, mabango ya kitaalamu ya Instagram, TikTok na WhatsApp Status, picha halisi na nyimbo za Bongo Flava, Singeli, Taarab na Gospel — kwa dakika chache.

Kwa biashara za Tanzania na Afrika Mashariki

Maduka ya Kariakoo, migahawa, saluni, mafundi na wajasiriamali wote: eleza biashara yako kwa sentensi moja, AI inaandika script, inarekodi sauti, inaunda video na bango. Lipa kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au Halopesa kuanzia TSh 2,000.

Huduma

Matangazo kwa kila biashara

Tangazo la duka la nguo, tangazo la mgahawa, saluni na urembo, simu na electronics, makanisa na matukio, shule na vyuo, hoteli na utalii Zanzibar na Arusha, kilimo, nyumba na viwanja, mafundi na huduma, wanaouza mtandaoni na wasanii wa muziki.

Fungua akaunti bure · Ingia